yeah! Konde boy call me Number One Number one Bila shaka haujawahi Kumuona hata kwa sura Boss wa karibia Unacho kula Huwezi muona kwa Tv ata kwa dharula Ingawa yeye ndo Mwenye king amuzi
Hana time na mitandao Yani kuuza sura Ype busy na mafao Pesa mlungula Angetaka kupita nao Wote angeshakula Hana huo muda wa makuziii
Masikini anawapa mitaji wagawane na watu wazima Huwezi muona kwenye picha Na wajane au mayatima Hawezi kujisifia nyamba Wala magari range na bimaa Riziki anagawa muumba Jalajalali kikubwa uzima! Sura yake kwako lazima Itakuwa ngeni Uwewnda ushapishana Nae kwenye foleni Maana sio mtu wa Kupop mashampeni Yeye sio limbukeni (Yeah)
Mfano wa mtu mwenye pesa! Ooh pesaa! Aaah! We mtazame bakhresa! bakhresa…. Mfano wa mtu mwenye pesaah ah ah! Ooh pesaaaa aaaahh… We mtazame bakhresa! bakhresa….
Bakhresa hajawahi kugombea Cheo au kujisifu na maendeleo Hawezi kushika pesa akazigawa Hivi ushasikia bakhresa ana chawa Akina tajiri mo kipenzi Chu wana simba aah ahh! Tunawaona insta wakicheza Nakuimba aah aah aah! Gharibu boss wa yanga na GSM Yeye ana utaratibu wa kwenda Kwa mkapa kucheki game Sio mbaya ila uwenzi kumuona Bakhresa akijisifu na pesa Na majigambo rumbesa (Bakhresa aah aah) Mtanzania pekee aliyee juu Ya bakhresa ni raisi Wa jamuhuri maana yeye ni taasisi OOh And guess what mama yuko peace Na ukimuona ametokea akiongea Ni kwaajili yetu sisi
Wakati unajigamba wa mbezi beach Bakhresa ana mashamba huko kijichi Ebu acha ushamba pesa haijifichi Eti I gat too much money am so rich
Mfano wa mtu mwenye pesa! Ooh pesaa! Aaah! We mtazame bakhresa! bakhresa…. Mfano wa mtu mwenye pesaah ah ah! Ooh pesaaaa aaaahh… We mtazame bakhresa! bakhresa….